Mechi za playoff zakosa mshindi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2019
Mechi za playoff zakosa mshindi

Michezo ya kwanza ya kusaka nafasi ya kupanda daraja kwa Pamba Fc na Geita Gold, dhidi ya timu za Kagera Sugar na Mwadui Fc ambazo zinajitetea zisiteremke daraja, imemalizika kwa suluhu ya bila kufungana

Pamba iliyokuwa nyumbani imeshindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Kagera Sugar matokeo hayo pia ikipata Geita Gold dhidi ya Mwadui Fc

Michezo ya marudiano itapigwa Juni 08 ambapo Kagera Sugar itakuwa nyumbani Kaitaba kuumana na Pamba Fc wakati Mwadui Fc itakuwa CCM Kambarage kupepetana na Geita Gold

Michezo yote imerushwa mbashara na Azam Tv

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’