Yanga yanasa kiraka mwingine Burundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2019
Yanga yanasa kiraka mwingine Burundi

Inaelezwa Yanga imenasa mchezaji kutoka Burundi klabu Aigle Noir, Mustapha Suleyman ambaye alitua nchini jana tayari kusaini mkataba wa miaka miwili

Timu ya Aigle Noir imeibuka kuwa mabingwa wa ligi kuu ya Burundi msimu huu

Mustapha anamudu kucheza nafasi ya beki wa kati na kiungo mkabaji

Hata hivyo inaelezwa usajili wa mchezaji huyo umefanywa siri kwa kuwa mkataba wake naΒ  Aigle Noir bado una mwezi mmoja kumalizika

Yanga imeshindwa kuwatangaza baadhi ya wachezaji wake iliyowasajili mpaka sasa kwa kuwa wengine mikataba yao na timu walizotoka bado haijamalizika

Mustapha mwenye umri wa miaka 20 ni nahodha wa kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana Burundi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’