Baada ya malalamiko kutoka kwa uongozi wa klabu ya Yanga kuwa 'pitch' ya uwanja wa Majimaji haifai kuchezewa,uwanja huo umefanyiwa marekebisho makubwa na sasa angalau uko tayari kutumika kesho.




ADVERTISE HERE