Tunakusanya fedha za usajili na mishahara - Mutta

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2019
Tunakusanya fedha za usajili na mishahara - Mutta

Katibu wa Kamati ya Hamasa Deo Mutta amesema tukio la uchangiaji Yanga litakalofanyika Juni 15 2019 ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam, ni tofauti na mchakato wa awali uliofanywa na ambapo kamati hiyo iligawa kadi 1500 kwa makundi mbalimbali

Akihojiwa na kpindi cha Yanga TV juzi, Mutta alisema fedha zitakazopatikana katika tukio hilo zitajumuishwa na zilizopatikana kupitia michango ya kadi 1500 ambazo ziligawiwa kwenye mikoa 30, Makundi ya Mitandao ya kijamii, Taasisi na watu binafsi

Kila kadi ina thamani ya Tsh Milioni moja

Mutta amefafanua kuwa fedha zitakazopatikana zitatumika kumaliza changamoto zilizopo, kufanya usajili pamoja na kukidhi gharama za uendeshaji wa klabu kwa angalau miezi sita

"Unaposajili wachezaji, wanahitaji kulipwa mishahara hivyo fedha tunazokusanya zitatumika kusajili na kulipa mishahara ya wachezaji," amesema

"Lakini pia fedha hizi zitamaliza changamoto zilizopo kama madai ya baadhi ya wachezaji na changamoto nyingine"

cut

Juni 15 Yanga itafanya tukio kubwa la kihistoria ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo wadau wa timu hiyo watashiriki katika Harambee ya kuichangia Yanga

Harambee hiyo itaanza saa nne asubuhi mpaka saa 12 jioni, lengo likiwa kukusanya angalau Tsh Milioni 500

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’