Kutinyu kuondoka Azam Fc akiwa mchezaji huru, ahusishwa kutua Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 May 2019
Kutinyu kuondoka Azam Fc akiwa mchezaji huru, ahusishwa kutua Yanga

Kiungo wa Azam Fc Tafadzwa Kutinyu anamaliza mkataba mwishoni mwa mwezi huu huku ikielezwa hataendelea kuitumikia timu hiyo

Kutinyu aliyetua Azam Fc akitokea klabu ya Singida United msimu uliopita, tayari amerejea kwao Zimbabwe kujiunga na timu ya Taifa itakayoshiriki michuano ya COSAFA na baadae AFCON 2019

Kiungo huyo aliyeifungia Azam Fc mabao sita kwenye ligi, anahusishwa na klabu ya Yanga

Meneja wa Azam Fc Philip Allando amethibitisha kuwa mkataba wa Kutinyu unamalizika mwishoni mwa mwezi huu na hatakuwa sehemu ya kikosi cha Azam kwa ajili ya msimu ujao

"Kutinyu mkataba wake unamalizika Mei 30, mwaka huu, ni siku chache zimebaki, lakini hayupo katika mipango yetu ya msimu ujao, hivyo yuko huru kuondoka," amesema

cut

Hivi karibuni kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera alisema timu hiyo imekamilisha usajili wa wachezaji nane

Zahera amesema ataweka hadharani majina ya wachezaji ambao wamesajiliwa na timu hiyo wiki ijayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’