Waziri aifananisha Yanga na mtoto mwenye akili aliyekosa ada shuleni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 May 2019
Waziri aifananisha Yanga na mtoto mwenye akili aliyekosa ada shuleni

Waziri wa nchi TAMISEMI Mh Suleiman Jaffo amesema timu ya Yanga ilistahili kuwa mabingwa msimu huu kutokana na kushiriki ligi katika mazingira magumu lakini bado ikafanya vizuri

Mh Jaffo ameifananisha Yanga na mtoto aliyekosa ada shuleni lakini akawa na maendelea mazuri na kufaulu mitihani

"Tumeona timu ambayo inapata ufadhili mkubwa sana Simba, lakini mwaka huu huu tumeona timu ambayo hata maisha yake ni ya shida, ya kubahatisha lakini kila siku ilikuwa inapiga watu, timu ya Yanga"

"Yanga mwaka huu ni sawasawa na mtoto aliyekosa ada shuleni lakini darasani anaongoza"

"Ukiangalia, ukafanya tathmini ya kimichezo, bingwa mwaka huu ni Yanga"

"Kama unafanya tathmini ya kweli ya kimichezo, yani Yanga mwaka huu kama ni mtoto aliyekosa ada, akifika darasani anasoma akiwa na msongo wa mawazo hajui inawezekana mda wowote atafukuzwa shuleni. Hana amani hata kidogo lakini mtihami ukija ana A"

"Halafu huku kuna mwingine anakula mkate wa 'blubendi' na nini halafu hata ratiba zote anafanyiwa yeye"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’