Dk Msolla ashinda Uwenyekiti Yanga, Mwakalebela Makamu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 May 2019
Dk Msolla ashinda Uwenyekiti Yanga, Mwakalebela Makamu

Wanachama wa klabu ya Yanga wameamua kwa pamoja kumchagua Dk Mshindo Msolla kuwa Mwenyekiti wao baada ya kumpigia kura nyingi

Kulingana na matokeo rasmi yaliyotangazwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Malangwe Mchungahella, Dk Msolla amepata kura 1276 akimshinda mpinzani wake Dk Jonas Tiboroha aliyepata kura 60

Baada ya Dk Msolla kutangazwa kuibuka mshindi, shangwe za wanachama zilisikika ukumbini ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono

Aidha nafasi ya Makamu Mwenyekiti imechukuliwa na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TFF Fredrick Mwakalebela aliyepata kura 1206 na kuwashinda Janeth Mbene (67), Yono Kevela (31), Titus Osolo (17) na Salum Chota aliyepata kura 12

Shangwe nyingine ziliibuka baada ya Mwakalebela kutangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Makamu Mwenyekiti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’