Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Dkt. Reginald Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo May 02 2019 huko nchini Dubai falme za Kiarabu
Kituo cha televisheni cha ITV kimethibitisha kifo cha Mengi
Mengi atakumbukwa kwa mchango wake na ushiriki katika masuala mbalimbali ya kijamii
Amefariki akiwa mlezi wa timu ya Taifa ya vijana U17 ambao mwezi uliopita alishiriki kikamilifu katika kuhamasisha na kuisaidia timu hiyo iliyoshiriki fainali za AFCON 2019 U17 zilizofanyika nchini
Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema, AMEN
ADVERTISE HERE