Yanga yataka sapoti ya mashabiki mchezo dhidi ya Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2019
Yanga yataka sapoti ya mashabiki mchezo dhidi ya Azam Fc

Mashabiki wa Yanga wameaswa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuru kesho kuiunga mkono timu yao ikichuana na Azam Fc

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema wamefanya maandalizi ya kutosha na wana matumaini makubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo huo

"Tunawaomba mashabiki wetu wajitokeze kwa wingi kutuunga mkono. Timu iko tayari kwa ajili ya mchezo huo na lengo letu ni kupata ushindi ambao utaendelea kutuimarisha kileleni mwa msimamo wa ligi"

Azam Fc itakuwa mwenyeji wa mchezo huo wa kwanza kwa timu hizo kukutana msimu huu

Viingilio kwa majukwaa ya VIP A ni Tsh 15,000/- na VIP B ni Tsh 10,000/- wakati Mzunguuko ikiwa Tsh 5,000/-

Mchezo huo pia utakuwa mbashara kupitia Azam Sport 2 ambapo mtangazaji Baraka Mpenja ndiye atakayeongoza matangazo hayo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’