Mchezo wa Mtibwa Sugar vs Yanga kupigwa saa nane mchana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2019
Mchezo wa Mtibwa Sugar vs Yanga kupigwa saa nane mchana

Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga utakaopigwa kesho Jumatano kwenye uwanja wa Jamhuri, utachezwa saa nane mchana

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema mabadiliko hayo yamefanyika ili kuwapa nafasi mashabiki kushuhudia mchezo wa AFCON U17 kati ya Tanzania dhidi ya Uganda ambao pia utapigwa kesho saa kumi kamili jioni

Yanga leo imefanya mazoezi kwenye uwanja wa Jamhuri yakiwa ni maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’