Gadiel, Ninja waongeza nguvu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Apr 2019
Gadiel, Ninja waongeza nguvu Yanga

Beki kisiki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' amemaliza adhabu baada ya kukosa michezo mitatu hivyo yuko huru kuwatumikia vinara hao wa ligi kuu katika mchezo dhidi ya African Lyon

Kesho Jumatatu, Yanga itashuka katika dimba la CCM Kirumba kucheza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani wakiwa nje ya jiji la Dar es salaam

Aidha beki wa upande wa kushoto Gadiel Michael Mbaga aliyekuwa Afrika Kusini kufanya majaribio kunako klabu ya Bidvest Wits, amerejea na huenda akawemo katika kikosi kitakachoikabili African Lyon kesho

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Ndanda Fc kwenye mchezo uliopita, Yanga itakuwa ikisaka matokeo muhimu ya ushindi ili kuendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’