Tarehe kama ya leo alizaliwa kiungo fundi, Mcongomani Papy Kabamba Tshishimbi
Akiwa kwenye msimu wake wa pili ndani ya kikosi cha Yanga, mchango wake umekuwa na umuhimu wa kipekee, ni mmoja wa wachezaji waliotegemewa zaidi
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu
HAPPY BIRTHDAY TSHISHIMBI..!
ADVERTISE HERE