Kabamba keshakuwa mwenyeji Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2017
Kabamba keshakuwa mwenyeji Dar
Papi Kabamba Tshishimbi ameshakuwa mwenyeji jijini Dar es salaam, pichani anaonekana akiulizia bidhaa wakati akiwa kwenye foleni baada ya mazoezi jana jioni.

Aliyepakiwa siti ya nyuma ni mlinzi Kayembe Kanku ambaye yuko kwenye majaribio katika kikosi cha Yanga.

Kanku ana nafasi kubwa ya kusajiliwa dirisha la usajili mwezi Novemba litakapofunguliwa kutokana na uwezo wake.

Mkataba wake na timu anayochezea huko Congo unamalizika mwishoni mwa mwezi huu
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’