Kikosi Yanga chafanya mazoezi maalumu ya ufungaji

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2017
Kikosi Yanga chafanya mazoezi maalumu ya ufungaji
Tangu Jumatatu benchi la Ufundi la Yanga lilikuwa likiwapa mazoezi maalum ya ufungaji washambuliaji.

Mazoezi hayo maalumu yamefanyika kufuatia matokeo ya mchezo wa kwanza ambapo Yanga ilitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu iliyopanda daraja Lipuli.

Kocha Msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa amesema, katika mechi yao ya kwanza Yanga ilitengeneza nafasi nyingi, lakini ilishindwa kufunga.

"Tunafanyia kazi suala hili la ushambuliaji kwa sababu tulitengeneza nafasi nyingi kwenye mechi yetu ya kwanza, lakini hatukupata mabao ndio maana tumekazia hivi sasa,"alisema.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’