Serikali 'yaikomalia' Yanga ifanye uchaguzi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2019
Serikali 'yaikomalia' Yanga ifanye uchaguzi

Serikali kupitia kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe, imeiagiza klabu ya Yanga kuhakikisha inafanya uchaguzi katika kipindi cha siku 14

Kumekuwa na sintofahamu juu ya hatma ya uchaguzi huo ambao umekuwa 'ukipigwa danadana' kutokana na mivutano ya hapa na pale

Dk Mwakyembe amesema Yanga haina sababu ya kutofanya uchaguzi wakati huu

Uongozi wa Yanga umeeleza kuwa tayari kufanya uchaguzi huo lakini kupitia Bodi ya wadhamini, umependekeza kufanyika kwa uchaguzi Mkuu wa nafasi zote badala ya ule wa kujaza nafasi zilizowazi

Idadi kubwa ya viongozi wa Yanga wamejiuzulu ambapo mpaka sasa Kamati ya Utendaji ya timu hiyo imebaki na wajumbe wawili tu baada ya wengine kujiuzulu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’