FT : Lipuli fc 1-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2019
FT : Lipuli fc 1-0 Yanga

Yanga imepoteza mchezo wake wa tatu katika ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya leo kukubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Lipuli Fc katika mchezo uliopigwa dimba la Samora

Bao pekee la Lipuli Fc lilifungwa na Haruna Shamte kupitia mkwaju wa adhabu katika dakika ya 20

Leo Yanga haikuwa kwenye ubora wake ikishindwa kutumia nafasi chache ilizotengeneza kwenye mchezo huo

Licha ya kipigo hicho, Yanga inaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imejikusanyia alama 67, ambazo ni alama nane mbele ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’