Yule beki aliyependekezwa na Kabamba Tshishimbi anayefahamika kwa jina la Kayembe Nkaku Fiston ameshatua jijini Dar es salaam kuanza majaribio kwenye kikosi cha Yanga.
Beki huyo aliyemwagiwa sifa kemkem na Tshishimbi atajaribiwa kwa wiki mbili na endapo uwezo wake utakubalika, atasaini mkataba wa awali na Yanga na kurejea klabuni kwake.
Imeelezwa kuwa atarejea tena nchini kuja kujiunga na Yanga wakati wa usajili wa dirisha dogo likalaofunguliwa Novemba.

ADVERTISE HERE