Kamati ya Nidhamu TFF kukutana Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Mar 2019
Kamati ya Nidhamu TFF kukutana Jumamosi

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) itakutana Jumamosi kupitia baadhi ya matukio yaliyotokea kwenye baadhi ya michezo ya ligi kuu Tanzania Bara na kuyatolea maamuzi.

Miongoni mwa wanaotarajiwa kuhudhuria kikao hicho ni beki wa Yanga Abdallah Shaibu 'Ninja' anayetuhumiwa kumpiga kiwiko mchezaji wa Coastal Union wakati timu hizo zilipokutana mwezi uliopita katika dimba la Mkwakwani kwenye mchezo ambao ulimalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Ninja aliruhusiwa kuendelea kuitumikia Yanga akisubiri hatma ya kikao hicho cha Kamati ya Nidhamu ambacho huenda kikamsimamisha kwa michezo kadhaa kutokana na tukio hilo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
26m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
35m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
3h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
18h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
22h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’