Baruani Yahya naye ameanza mazoezi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Sep 2017
Baruani Yahya naye ameanza mazoezi
Winga anayetajwa kuwa mrithi wa Simon Msuva, Baruani Yahya ameanza mazoezi baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa kutokana matatizo ya misuli.

Baruani aliumia wakati timu ilipokuwa kambini kisiwani Pemba, akarejea dimbani lakini akatonesha tena majeraha hivyo kukosa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba na pia mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Lipuli.

Baruani alisajiliwa na Yanga akiwa mchezaji huru akitokea nchini Uganda ambako alimaliza masomo yake ya kidato cha sita.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’