Huyu Kindoki atawaumbua wengi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Feb 2019
Huyu Kindoki atawaumbua wengi

Hakuna ubishi katika mchezo wa jana dhidi ya Namungo Fc, mlinda lango Klaus Kindoki alikuwa nyota wa mchezo

Kindoki hakuwa yule ambaye mashabiki wa Yanga wamemzoea.

Aliokoa michomo kadhaa ya washambuliaji wa Namungo ambayo ingeweza kusababisha madhara kwa Yanga

Kindoki alikuwa mkali kwa mabeki wake pale walipofanya makosa.

Mlinda lango huyo raia wa DR Congo alidhihirisha ubora wake, sasa anaonekana kujiamini na kufurahia kazi yake

Kama ataendeleza moto huo, Yanga haina sababu ya kuwa na hofu nae tena

Jana baada ya mchezo mashabiki wa Yanga hawakuficha furaha zao kwake. Alipongezwa kila kona

Kindoki jana amewafunza mashabiki, ni vyema kuwa wavumilivu na kuwapa nafasi wachezaji wasahihishe makosa yao

Kwani duniani hakuna mchezaji asiyefanya makosa.

Kindoki alipoteza kujiamini kutokana na mashambulizi na kejeli alizokuwa akivurumishiwa na baadhi ya mashabiki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’