Kambi ya Yanga iko salama - Uongozi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Feb 2019
Kambi ya Yanga iko salama - Uongozi Yanga

Kuelekea mchezo wa keshokutwa dhidi ya Simba kumeibuka taarifa mitandao zinazodai kambi ya Yanga mkoani Morogoro imekumbwa na sintofahamu baada ya baadhi ya wachezaji kufanya mgomo wakidai malipo

Hata hivyo taarifa hizo ni za kupikwa, wanaofanya hivyo wana lengo la kuwavuruga Wana Yanga ambao licha ya changamoto ambazo timu yao inapita, wamekuwa wamoja

Uongozi wa Yanga umewataka mashabiki na wanachama wake kuwa makini na baadhi ya taarifa za upotoshaji zinazotengenezwa kwa ajili ya malengo maalum

"Wana Yanga wote tunaomba mpuuzie hii ni propaganda tu hizi kuelekea mchezo wa jumamosi dhidi ya Simba Sc. Kambi yetu ipo salama na hakuna tatizo lolote," imesema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’