Hatutachoka, tutaendelea kupambana - Kamusoko

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2019
Hatutachoka, tutaendelea kupambana - Kamusoko

Licha ya kufanyiwa 'figisu' Wana Yanga wametakiwa kuwa na umoja na kuendelea kuiunga mkono timu yao katika harakati za kutwaa ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Katika michezo miwili iliyopita Yanga imekumbana na mazingira yasiyo rafiki, ikilazimishwa sare katika michezo hiyo ambayo pia ilifunga mabao yaliyokataliwa na waamuzi

Kiungo fundi wa timu hiyo Thabani Kamusoko amesema hawapaswi kuchoka, bali wataongeza juhudi ili kuhakikisha wanafanikisha malengo yao

"Mtafutaji hachoki ata akifanyiwa lolote mbaya kwasababu anakua namalengo yake, ukiwa na Mungu kila kitu kinawezekana," ameandika Kamusoko kwenye ukurasa wake wa Instagram

Yanga imerejea mkoani Yanga ambapo Jumapili itashuka tena katika dimba la Mkwakwani kuikabili JKT Tanzania huo ukiwa ni mchezo wa nne mfululizo kwa Yanga kucheza ugenini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’