Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Singida United dhidi ya Yanga umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana
Mchezo huo ulikosa ufundi kutokana na changamoto ya uwanja wa Namfua
Yanga imepata sare ya pili mfululizo baada ya juzi pia kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Coastal Union
Sasa inarejea tena mkoani Tanga kuikabli JKT Tanzania katika mchezo ambao utapigwa Februari 10 katika uwanja wa Mkwakwani
Bado inaendelea kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa imefikisha alama 55.
ADVERTISE HERE