Yanga kuelekea mkoani Singida leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Feb 2019
Yanga kuelekea mkoani Singida leo

Hakuna kulala! Ndio kauli unayoweza kuitumia kwa mchakamchaka unaoikabili Yanga wiki hii ambapo baada ya mchezo wa jana dhidi ya Coastal Union, vinara hao wa ligi kuu wanaelekea mkoani Singida kuikabili Singida United katika mchezo mwingine wa ligi kuu utakaopigwa keshokutwa Februari 06 katika dimba la Namfua

Baada ya mchezo huo, Yanga itarejea tena jijini Tanga kuikabili JKT Tanzania Februari 10.

Mchezo utakaofuata baada ya kucheza na JKT Tanzania ni dhidi ya Simba Februari 16 na utapigwa kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’