Yanga dimbani Mkwakwani leo kuikabili Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Feb 2019
Yanga dimbani Mkwakwani leo kuikabili Coastal Union

Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga wako mkoani Tanga ambapo leo wanashuka katika dimba la Mkwakwani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Mratibu wa Yanga Hafidh Saleh amesema wachezaji wako katika hali nzuri na wana matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali

Kocha Mwinyi Zahera huenda leo akafanyia mabadiliko safu yake ya ulinzi ambayo katika michezo ya hivi karibuni imekuwa ikiruhusu kufungwa mabao mepesi

Matokeo ya ushindi yataifanya Yanga iendelee kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama tisa dhidi ya Azam Fc inayofuata katika nafasi ya pili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
27m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’