Mkutano Mkuu wa TFF unafanyika Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2019
Mkutano Mkuu wa TFF unafanyika Arusha

Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unafanyika leo mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi wa Mkutano huo ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh Mrisho Gambo

Ajenda 14, zitafanyiwa kazi katika Mkutano Mkuu huo unaofanyika kwenye kituo cha Kimataifa cha Mikutano AICC jijini Arusha.

Mkutano huo ambao awali ulipangwa kufanyika Desemba mwaka jana, uliahirishwa kwa kile kilichotajwa kuwa ni kutoa nafasi ya kuendana na Kalenda ya uchaguzi mdogo wa kujaza nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa TFF anayewakilisha kanda ya mikoa ya Simiyu na Shinyanga

Jana Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alisema kuwa miongoni mwa ajenda muhimu itayojadiliwa ni bajeti ya mwaka 2019, pamoja na mapendekezo ya marekebisho ya katiba ya TFF.

Ajenda za Mkutano huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’