Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itashuka dimbani Jumamosi ya Septrmber 02, 2017 kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Botswana.
Mchezo huo uko ndani ya kalenda ya FIFA ambapo timu nyingine zitakuwa zinasaka tiketi ya kutinga fainali ya michuano ya kombe la dunia.
Yanga inawakilishwa na wachezaji wanne kwenye kikosi cha Stars ambao ni Ramadhani Kabwili, Kelvin Yondani, Gadiel Michael na Raphael Daudi Alpha

ADVERTISE HERE