FT : Stand United 1-0 Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jan 2019
FT : Stand United 1-0 Yanga

Stand United imekuwa timu ya kwanza kuchukua alama zote tatu dhidi ya Yanga baada ya kufanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara uliopigwa dimba la Kambarage

Bao pekee la Stand United lilipatikana kwenye dakika ya 89 likiwekwa kimiani na Jacob Massawe aliyetumia makosa ya Chikupe na Kindoki waliotegeana kucheza majaro iliyomiminwa kutoka upande wa kushoto

Ulikuwa ni mchezo uliokosa ufundi kutoka kwa kila timu kutokana na changamoto ya uwanja.

Licha ya kipigo hicho Yanga inaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi ikiwa na alama 53

Azam Fc imefanikiwa kuichapa Mwadui Fc bao 1-0 na kupunguza tofauti ya pointi baina yao na Yanga kuwa tisa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’