BIKOSPORTS kudhamini tuzo ya mchezaji bora wa mwezi TPL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2019
BIKOSPORTS kudhamini tuzo ya mchezaji bora wa mwezi TPL

Bodi ya Ligi Kuu imeingia makubaliano na Kampuni ya BIKOSPORTS kudhamini tuzo ya mchezaji bora wa mwezi na kocha bora wa mwezi.

Udhamini huo ni wa shilingi milioni 17 ambapo kila mwezi milioni 1 itatolewa kwa mchezaji bora na Kocha Bora

Tuzo hizo zinatolewa kuanzia mwezi Disemba 2018

Tuzo hizo zinazotolewa kila mwezi, zimeishuhudia klabu ya Yanga ikitawala ambapo mshambuliaji wake Heritier Makambo ametwaa tuzo mbili za mchezaji bora wakati kocha Mwinyi Zahera ameshatwaa tuzo tatu za kocha bora

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’