Gustavo, Shabani kuongezwa kikosi cha kwanza Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jan 2019
Gustavo, Shabani kuongezwa kikosi cha kwanza Yanga

Kiwango kizuri walichoonyesha kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi iliyomalizika hivi karibuni, kimewapa fursa Gustavo Simon na Shabani Mohammed kujumuishwa kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameagiza leseni za wachezaji hao wa timu ya vijana (Yanga B) zipatikane haraka ili waweze kutumika katika kikosi cha kwanza.

Gustavo alikuwa gumzo zaidi katika Mapinduzi Cup akionyesha uwezo mkubwa akimudu vyema kucheza nafasi ya ulinzi wa kushoto na kiungo mchezeshaji

Vijana hao wanafuata nyayo za Paulo Godfrey 'Boxer' ambaye tangu apandishwe kwenye kikosi cha kwanza, ameonyesha uwezo mkubwa kupelekea kocha Zahera kumpa majukumu ya ulinzi wa kulia mbele ya mkongwe Juma Abdul

Zahera ameonyesha kuwa na imani na wachezaji vijana na kwa hakika hawamuangushi anapowapa nafasi.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’