Gadiel aahidi ushindi mchezo dhidi ya Mwadui Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jan 2019
Gadiel aahidi ushindi mchezo dhidi ya Mwadui Fc

Beki wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael amesema wamejiandaa kikamilifu kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mchezo wa kesho dhidi ya Mwadui Fc

Gadiel amesema wachezaji wa kikosi cha Yanga wamepania kulinda rekodi ya kutopoteza mchezo msimu huu

"Mpaka sasa hatujapoteza mchezo, tutahakikisha kesho tunaiendeleza rekodi hiyo", Gadiel ameiambia Yanga TV.

" Tunawaomba mashabiki wetu wajitokeze kwa wingi kesho kutuunga mkono"

"Tunawaahidi tutaendelea kuwapa burudani hadi mwisho wa msimu"

Yanga inaongoza ligi kwa tofauti ya alama 10 ikiwa imejikusanyia alama 50 dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama 40

Ushindi katika mchezo wa kesho utaifanya Yanga izidi kujichimbia kileleni kwa tofauti ya alama 13

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’