Zahera aiandalia dozi Mwadui Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jan 2019
Zahera aiandalia dozi Mwadui Fc

Vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga Jumatano, Januari 16 wanashuka katika dimba la Taifa kuikabili Mwadui Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara mzunguuko wa 22

Huo utakuwa mchezo wa kwanza wa ligi kwa Yanga mwaka huu ikitoka kuichapa Mbeya City mabao 2-1 mwishoni mwa mwaka jana na kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 10

Yanga imedhamiria kutwaa ubingwa msimu huu, ikiweka mkakati wa kulinda rekodi ya kutopoteza mchezo mpaka sasa.

Baada ya mchezo huo Yanga itaelekea mkoani Shinyanga kuikabili Stand United Jan 20 kabla ya kurejea jijini Dar es salaam kushiriki mashindano ya SportPesa Super Cup yanayoanza Januari 22 2019

Kikosi cha Yanga kimeendelea kujifua kwenye uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam chini ya kocha wake Mkuu Mwinyi Zahera kujiandaa na michezo hiyo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’