Yanga yakaribia kumalizana na Raphael Daudi

Admin By Admin
β€’
21 Jun 2017
Yanga yakaribia kumalizana na Raphael Daudi
Klabu ya Yanga iko mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mkata umeme wa Mbeya City, Raphael Daudi, imefahamika.

Yanga imekuwa na matatizo katika nafasi ya kiungo mkabaji licha ya kumsajili Justine Zulu, msimu uliopita.

Raphael Daudi ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa inayojiandaa kwenda nchini Afrika Kusini kushiriki michuano ya COSAFA.

Ni mmoja wa wachezaji waliopendekezwa na kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina. Mchezaji huyo anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kabla Stars haijaondoka kwenda nchini Afrika Kusini.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
7h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’