Yanga kucheza na Biashara fc raundi ya nne FA Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jan 2019
Yanga kucheza na Biashara fc raundi ya nne FA Cup

Droo ya raundi ya nne ya michuano ya kombe la Shirikisho (ASFC) imefanyika leo jijini Dar es salaam ambapo vinara wa ligi kuu ya Tanzania Bara Yanga watacheza na Biashara Fc katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa.

Michezo ya raundi ya nne itapigwa kati ya Januari 25-28

Washindi wa raundi ya nne watatinga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo ambayo bingwa ataiwakilisha Tanzania Bara kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF CC)

Kama itafanikiwa kutinga hatua ya 16 bora (raundi ya tano), Yanga itacheza na mshindi kati ya Mighty Elephant dhidi ya Namungo Fc, mchezo utakaopigwa ugenini kati ya Februari 22-25

Katika hatua nyingine,Β  TFF imetangaza mchezo wa fainali wa michuano hiyo mwaka huu utapigwa mkoani Lindi katika uwanja wa Ilulu.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’