Yanga moja dimbani Z'Bar leo, nyingine inajifua Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2019
Yanga moja dimbani Z'Bar leo, nyingine inajifua Dar

Wakati kikosi cha vijana cha Yanga leo kikitarajiwa kushuka dimba la Amaan visiwani Zanzibar kuikabili Malindi Fc kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi, wachezaji wa kikosi cha kwanza wanaendelea na mazoezi kujiandaa na michezo ya ligi kuu pamoja na michuano ya SportPesa Super Cup

Uamuzi wa kukigawa kikosi cha Yanga ulichukuliwa na kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera kuhakikisha Yanga haiathiriwi na wingi wa michuano inayoshiriki katika mwezi huu wa kwanza.

Kikosi cha kwanza kimeendelea kujifua kwenye uwanja wa chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kiporo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa punde baada ya kumalizika michuano ya kombe la Mapinduzi.

Kuelekea mchezo dhidi ya Malindi Fc kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi, Meneja wa Yanga Nadir Haroub 'Cannavaro' amesema baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Azam Fc, leo wamedhamiria kushinda dhidi ya Malindi ili waweke hai matumaini ya kutinga nusu fainali ya michuano hiyo.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’