Kikosi cha wachezaji 23 wa Yanga na viongozi watano wa benchi la Ufundi wameelekea visiwani Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi (Mapinduzi Cup).
Miongoni mwa viongozi wa benchi la ufundi walioambatana na timu ni Said Maulid 'SMG' nyota wa zamani wa mabingwa hao wa kihistoria.
Benchi hilo la ufundi litaongozwa na kocha Noel Mwandila. Wengine ni Said Maulid, Dk Edward Bavu, Nadir Haroub na Mohamed Ali
Wachezaji walioondoka
1. Maka Edward
2. Haji Mwinyi
3. Said Makapu
4. Matheo Anthony
5. Erick Msagati
6. Deo Mkami
7. Ibrahim Abrahaman
8. Ibrahim Ahmed
9. Deus Kaseke
10. Mustapha Seleman
11. Abuu Shaban
12. Ramadhan Mrisho
13. Mohamed Salumu
14. Cheda Hussein
15. Yasini Salehe
16. Salumu Mkama
17. Faraji Kilaza
18. Bakari Athman
19. Said Khasimu
20. Shaban Mohamed
21. Jafari Mohamed
22. Pius Buswita
23. Juma Abdul