Michuano ya kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2019 inatarajiwa kuanza kesho kwenye dimba la Amaan visiwani Zanzibar.
Yanga itashiriki michuano hiyo ingawa kocha Mwinyi Zahera amebainisha kuwa atawapumzisha baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza, inatarajiwa kushuka dimbani Januari 03 kuikabili KVZ
Michezo yote itarushwa na mbashara na Azam TV
Ratiba

ADVERTISE HERE