Yanga yatembeza vipigo kwa dakika 720

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2018
Yanga yatembeza vipigo kwa dakika 720

Ushindi wa mabao 4-0 iliyopata Yanga leo kwenye mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tukuyu Stars, umenogesha rekodi ya ushindi kwa Yanga sasa ikishinda mfululizo michezo nane ya kimashindano sawa na kugawa vipigo kwa dakika 720.

Kabla ya mchezo wa leo, Yanga ilishinda michezo saba ya ligi mfululizo dhidi ya Mwadui FC(2-1), Kagera Sugar (2-1), JKT Tanzania (3-0), Prisons (3-1), Biashara Fc (2-1), Ruvu Shooting (3-2) na African Lyon (1-0)

Juu ya rekodi hiyo Yanga bado haijapoteza mchezo wowote kwenye ligi ikitoka sare michezo miwili tu.

Vinara hao wa ligi kuu wameendelea kunoga siku hadi siku sasa wakitandaza kandanda safi ya kitabuni.

Shukrani za pekee zimfikie kocha Mwinyi Zahera ambaye ameweza kuifanya Yanga kuwa 'moto wa kuotea mbali.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’