Gadiel ataja siri ya ushindi Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2018
Gadiel ataja siri ya ushindi Arusha
Mlinzi wa kushoto wa Yanga Gadiel Michael ameshashukuru mashabiki wa timu hiyo waliojitokeza kwa wingi kuwaunga mkono katika mchezo dhidi ya African Lyon.

Yanga imefanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0 na kuzidi kujikita kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama 47.

Gadiel amesema wingi wa mashabiki wanaojitokeza kuwaunga mkono umekuwa ukiwahamasisha na kujituma zaidi kuhakikisha wanafanya vizuri

AKizungumzia mchezo huo, Gadiel amesema wameweza kupata matokeo licha ya mchezo kuwa mgumu kwa kuwa walifuata maelekezo ya mwalimu

"Mchezo haukuwa rahisi lakini tunashukuru kuwa tumepata ushindi na hii ni kwa sababu tulifuata maelekezo tuliyopewa na mwalimu," amesema

"Lakini pia tunawashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi kuja kutuunga mkono. Tunawaomba waendelee kuwa nasi kwani wao ni kama wachezaji wa 12"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’