Lukumay aomba utulivu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2018
Lukumay aomba utulivu Yanga
Kaimu mwenyekiti wa klabu ya Yanga Samuel Lookmay amesema ni kweli kocha wao Zahera Mwinyi hakutimiziwa usajili wa baadhi ya wachezaji aliowapendekeza katika dirisha dogo.

"Ni kweli kuna mambo ambayo yalijitokeza, bado sijakaa na kamati ya usajili lakini nitakapokaa nayo tutayaongea yote na kusema lipi limetokea."

"Niwaombe mashabiki wa Yanga wawe wapole, hizi shutuma na tuhuma ambazo wanawatupia watu kama sio uongozi huu kushirikiana kwa pamoja hili ambalo timu inafanya kwa sasa lisingekuwepo hata huyo kocha asingeweza kufanya wala uongozi."

"Usajili ni process ambayo ina mambo mengi kwa hiyo nitakapokaa na kamati ya usajili nitajua nini kilitokea na tutawafahamisha wanayanga, lakini watu wanamshambulia mtu mmoja ambaye mchango wake kwenye hii timu ni mkubwa, kwakweli inasikitisha sana."

"Hussein Nyika (Mwenyekiti Kamati ya usajili Yanga) amekuwa na msaada kwenye timu lakini watu wanamuandama na kufikia hatua ya kumtukana na kumtisha. Naomba wanayanga wanaofanya hayo waache, twende kwenye uchaguzi uongozi ukamilike tutayaona yaliyopo."

Kwa hisani ya ShaffihDauda
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’