Mashabiki walivyofurika kushuhudia mazoezi ya Yanga Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2018
Mashabiki walivyofurika kushuhudia mazoezi ya Yanga Arusha
Leo Jumatano jioni Yanga ilifanya mazoezi yake ya miwsho kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon utakaopigwa kesho Alhamisi, Disemba 20 2018.

Idadi kubwa ya mashabiki walifurika kwenye dimba hilo kuwashuhudia vinara hao wa ligi kuu wakijifua.

Jiji la Arusha linafahamika kwa kuwa na idadi kubwa ya mashabiki wa klabu ya Yanga na hakuna shaka kesho watajitokeza kwa wingi kuwaunga mkono mabingwa hao wa kihistoria.



ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’