Yanga yawasili Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2018
Yanga yawasili Arusha
Kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania, Yanga kimewasili salama mkoani Arusha tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon.

Yanga iliondoka jijini Dar es salaam mapema leo Jumanne kwa usafiri wa basi ambapo timu iliweka kituo cha muda wilayani Korogwe kupata chakula cha mchana kilichoandaliwa na wadau wa Yanga kisha kuendelea na safari

Idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga mkoani Arusha wamejitokeza kuwalaki vinara hao wa ligi kuu ambao wamepania kusalia kileleni mpaka mwezi wa tano mwakani ligi itakapokuwa inamalizika.



Yanga itashuka kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid keshokutwa Alhamisi Disemba 20 kuikabili African Lyon katika mchezo unaosubiriwa kwa hamu na wakazi wa jiji hilo la Kitalii
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’