Yanga yapokelewa kwa shangwe Korogwe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2018
Yanga yapokelewa kwa shangwe Korogwe
Kikosi cha Yanga kiko safarini kuelekea mkoani Arusha kuikabili African Lyon katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa keshokutwa Alhamisi dimba la Sheikh Amri Abeid.

Wapenzi, Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo Wilayani Korogwe wakiongozwa na Mbunge wa Jimbo hilo Mh Merry Chatanda, wamewapokea vinara hao wa ligi na kuwaandalia chakula cha mchana wilayani humo kabla ya kuendelea na safari.





Yanga inatarajiwa kuwasili baadae leo mkoani Arusha.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’