Mashabiki wa Yanga walipenda kumuona kiungo wao mpya Haruna Moshi 'Boban' akiitumikia timu hiyo kwa mara ya kwanza katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting.
Hata hivyo Boban hakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga akisubiri usajili wake uidhinishwe na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la soka nchini (TFF)
TFF ilizuia wachezaji wote waliosajiliwa kipindi cha dirisha dogo la usajili kutumika hadi hapo usajili wao utakapo-idhinishwa
Boban pia alikosa mchezo dhidi ya waajiri wake wa zamani African Lyon uliopigwa juzi Alhamisi dimba la Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha

ADVERTISE HERE