Dirisha la usajili kufungwa saa 5:59 usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2018
Dirisha la usajili kufungwa saa 5:59 usiku
Dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Novemba 15 2018 litafungwa leo Jumamosi Disemba 15, saa 5:59 usiku.

TFF imezikumbusha timu zote kuhakikisha zinakamilisha michakato yote ya usajili ndani ya muda uliopangwa na hakutakuwa na muda wa ziada.

Mpaka sasa Yanga imethibitisha kumsajili Haruna Moshi kutoka African Lyon.

Baadae leo, uongozi wa Yanga umekusudia kuweka hadharani usajili wake wa wachezaji wapya na wale walioondoka timu hiyo iwe kwa mkopo au kumaliza mikataba yao.

Je kutakuwa na wengine waliosajiliwa zaidi ya Boban? Tusubiri..
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’