Uongozi wa klabu ya Yanga umepunguza madeni ya mishahara ya wachezaji wake kwa kulipa mishahara ya miezi miwili imefahamika
Baadhi ya wachezaji wamekuwa wakiidai timu hiyo malimbikizo ya mishahara hadi ya miezi minne.
Malipo hayo yamefanikishwa baada ya timu hiyo kupokea 'fungu' kutoka kwa wadhamini wake, kampuni ya SportPesa.
Licha ya kukabiliwa na changamoto za kiuchumi, Yanga imekuwa ikifanya vizuri ikiwa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kujikusanyia alama 41
Imeshinda michezo 13 kati ya 15 iliyocheza na kutoka sare michezo miwili tu.

ADVERTISE HERE