Kampeni za Wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika klabu ya Yanga zilizopangwa kuanza leo, zimeahirishwa baada ya wagombea kuhofia usalama wao.
Wagombea hao waliopitishwa na TFF wamekumbana na upinzani mkali kutoka kwa wanachama wa klabu ya Yanga ambao wanawatuhumu kuwa ni wasaliti
Juzi katika kikao cha Matawi ya klabu ya Yanga jijini Dar es salaam kulitolewa mapendekezo kwa wagombea hao wote kufutwa uanachama baada ya kukiuka katiba ya klabu ya Yanga
Ikumbukwe tangu TFF ilipotangaza kuendelea na mchakato wa uchaguzi wa Yanga bila kuwahusishwa viongozi wa timu hiyo, tahadhari ilitolewa juu ya uwezekano wa mchakato huo kukamilika kwani wenye uamuzi wa mwisho ni Wanachama wa klabu ya Yanga kupitia Katiba yao
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe amezikutanisha Yanga, TFF na Baraza la Michezo ili kupata suluhu ya uchaguzi uliopangwa kufanyika Januari 13, 2019.

ADVERTISE HERE