Klabu ya Yanga imezindua Tawi la Wanachama Wilaya ya Mafinga mkoani Iringa.
Kulingana na taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga mapema leo, tawi hilo limezinduliwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Siza Lymo ambaye pia alikuwa mgeni rasmi kwenye hafla hiyo.

ADVERTISE HERE