Mlinda lango wa zamani wa Yanga Deogratius Munishi 'Dida' ameitakia kheri Yanga ili ipate ushindi kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii leo dhidi ya Simba.
Dida yuko nchini Afrika Kusini akiicheza timu ya Chuo Kikuu cha Pretoria,Tuks FC inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini humo.
Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram Dida amesema anaitakia kila la kheri Yanga ili iweze kupata ushindi katika mchezo leo.
Jana Msuva naye aliitakia kheri Yanga kwenye mchezo huo.
Wachezaji wote wameichezea Yanga kwa mafanikio makubwa kwa kuisaidia kutwaa mataji matatu mfululizo ya VPL

ADVERTISE HERE