Yanga katika mtihani wa mechi nne za ugenini mfululizo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Nov 2018
Yanga katika mtihani wa mechi nne za ugenini mfululizo
Baada ya mapumziko ya takribani wiki mbili kupisha michuano ya CAF na FIFA, ligi kuu ya Tanzania Bara itaendelea kesho Alhamisi kuzibia mapengo ya michezo ya 'viporo'

Yanga ndio itakayokuwa 'busy' zaidi kwani ina upungufu wa hadi michezo mitatu dhidi ya timu nyingine.

Kesho Alhamisi Novemba 22, 2018 itakuwa mkoani Shinyanga kuchuana na Mwadui Fc katika mchezo utakaopigwa uwanja wa CCM Kambarage.

Novemba 25, Yanga itakuwa Kagera kwenye dimba la Kaitaba kupepetana na Kagera Sugar kisha kuunganisha mkoani Tanga kuikabili JKT Tanzania Novemba 29

Disemba 03 mabingwa hao wa kihistoria watarudi mkoani Mbeya kupepetana na Tanzania Prisons.

Uwezo wa kikosi cha Yanga na hatma ya ubingwa msimu huu itaanza kupimwa katika michezo hii ambayo inapigwa nje ya jiji la Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’